Ad

AyoTV

VIDEO: Wabunge walivyomsindikiza Mama Salma kikwete kula kiapo Bungeni

on

April 4, 2017 mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Dodoma ambapo kabla ya kuanza kwa kipindi cha maswali na majibu mbunge wa kuteuliwa Mama Salma Kikwete alipata nafasi ya kula kiapo huku akisindikizwa na baadhi ya wabunge.

Full video tayari nimekuwekea hapa chini…

LIVE BUNGENI: Kipindi cha maswali na majibu April 04 2017 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments