Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mstaafu Kikwete atembelea shamba lake linalotakiwa kupangiwa matumizi

on

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, ametembelea mjini Dodoma katika maeneo yake aliyonunua miaka ya 1980, ambayo yanatakiwa kupimwa na kupangiwa matumizi bora ya ardhi. Katika ziara hiyo aliambatana na familia yake, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi na wataalamu wa ardhi wa jiji hilo.

LIVE: MFUNGWA AMCHOMA AFISA MAGEREZA KWA MAGUFULI “ONDOKA NAE ATANIUA”

Soma na hizi

Tupia Comments