AyoTV

Maamuzi ya Serikali kwa Wauguzi wanaowanyanyasa wajawazito (+Video)

on

Ni kutokea Bungeni Dodoma leo February 5, 2018 ambapo Serikali kupitia Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Faustine Ndugulilele amesema tayari Serikali imeanza kuwachukulia hatua za kinidhamu baadhi ya wauguzi ambao wamekuwa wakiwanyanyasa wajawazito.

Shinikizo la Wabunge kwa Serikali kuhusu ndoa za utotoni

Soma na hizi

Tupia Comments