Habari za Mastaa

Cheki Video ya Young Killer akiwashukuru Mashabiki kwa tuzo aliyopata kwenye #KTMA2014

on

kilaJumamosi Mei 03 kulikuwa na utoaji wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards ambapo kwa msanii kutoka 88.1 Mwanza Young Killer alishinda tuzo bora ya msanii bora anayechipukia/anayeibukia kwa mwaka 2013/2014,leo katoa video ya kuwashukuru mashabiki wake waliompigia kura.

kilaaa

Bonyeza play kutazama.

Tupia Comments