Habari za Mastaa

List ya wakali wote walioteuliwa KILI MUSIC AWARDS 2015 iko hapa tayari..

on

RED3-Red_Carpet_lights_Large_0http://dxzccmtp98vpc.cloudfront.net/wp-admin/post.php?post=110704&action=edit2015 ndiyo hii mtu wangu.. Kili Music Awards ni Tuzo kubwa kwenye industry ya muziki TANZANIA… Waandaaji wa Tuzo hizo leo wameileta kwetu rasmi kabisa ile list ya mastaa wetu wa muziki ambao wameteuliwa kuwania Tuzo hizo kwa msimu wa mwaka huu 2015.

Niko nayo tayari, unaweza kucheki hapa list kamili ya mastaa wote ambao wameteuliwa kwa mwaka huu.
I II III IV V VI

Baada ya kuipitia nimeona majina ya mastaa walioongoza kwa kuteuliwa kwenye vipengele vingi zaidi, wa kwanza ni Ali Kiba ambae yuko kwenye vipengele sita, Diamond pia yupo kwenye vipengele sita na Jux ambae yuko kwenye vipengele vinne.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa>>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments