Top Stories

Kilichosababisha moto Mlima Kilimanjaro “wanapasha chakula ukashika nyasi” (+video)

on

Kamishina Mwandamizi MsaidiI Mawasiliano (TANAPA) Pascal Shelutete amebainisha chanzo cha kuibuka kwa moto katika eneo la hifadhi ya Mlima Kilimanjaro kuwa umetokana na moto wa kupasha chakula cha wageni.

“Kitendo cha kupasha moto chakula cha wageni katika kituo cha kupumzika wageni cha Whona ndicho kinasadikiwa kuwa chanzo cha moto huu” Pascal Shelutete

Soma na hizi

Tupia Comments