Naibu Waziri wa Kilimo David Silinde ametoa rai kwa wadau wote wa kilimo ikolojia hai ndani na nje ya nchi waweke mipango na vipaumbele ili kuhakikisha kwamba mkakati wa kilimo ikolojia hai unatekelezwa kwa ufanisi na kuleta tija tarajiwa kwa jamii.
Silinde ameyasema hayo wakati akizindua wa mkakati wa kitaifa wa Kilimo ikolojia hai uliofanyika katika ukumbi wa st gasper jijini Dodoma.