Michezo

Jinsi Mario Balotelli alipolia machozi uwanjani.

on

Bf-3UFjIIAAR-LO

Mario Balotelli alionekana akitokwa na machozi usiku wa mchezo wa ligi kuu ya Italia kati ya timu yak AC Milan dhidi ya Napoli, hali hii ilitokea baada ya kutolewa uwanjani zikiwa zimebakia dakika 15 kabla ya mchezo kuisha.

Baada ya Adel Taarabt kuifungia Milan bao la kuongoza katika dakika ya 8 tu ya mchezo,  Gökhan Inler  akaisawazishia Napoli kabla ya Gonzalo Higuain kufunga mabao mengine ya ushindi.

Tupia Comments