AyoTV

EXCLUSIVE: Young Killer aongea kuhusu kumpigia magoti Mona Gangster

on

Ni Rapper mwingine kwenye fleva ya bongo sasa hivi ambapo amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV Entertainment Dar es salaam na kuongea ukweli kuhusu taarifa za yeye kumpigia magoti Mona Ganster.

Killer amesema ‘kuhusu kumpigia magoti binadamu mwenzangu ni jambo ambalo haliwezekani na halitawezekana lakini haikua katika muziki, kuna vitu vingine vilitokea kwenye maisha yetu binafsi na tulikua tunaingia kwenye mwezi wa Ramadhani na haikua vizuri tuingie katika mfungo umekwazana na mtu’

Young Killer na Mona Gangster

Young Killer anasemaje kuhusu kurudi kufanya kazi na Mona Gangster? kuhusu wanaosema Mona Gangster ndio alikua anampatia kuliko Producer mwingine? kuhusu mwaka 2016 kuwa mbaya kwake? bonyeza play kwenye hii video hapa chini kufahamu zaidi

VIDEO: Tazama alichosema P Funk baada ya kuiona video ya mapenzi iliyosambaa mitandaoni wakisema ni Mtoto wake

Soma na hizi

Tupia Comments