Habari za Mastaa

Kim Kardashian afunguka “Kanye alinifundisha kujiamini”

on

Ni Headlines za Kim Kardashian ambae Agosti 12, 2021 ameingia katika vichwa vya habari baada ya kusikika katika moja ya mahojiano ya Podcast ‘We Are Supported By” akizungumzia Rapper Kanye West na kusema bado anathamini mchango wake katika maisha yake licha wawili hao kuachana kwani alimjenga na kumfanya kujiamini katika maisha.

Kim amethibitisha hayo kwa kusema kwamba Kanye West…“Kanye ni mtu ambaye hajali lolote wala chochote kwa namna ambavyo watu wanamchukulia, anachojali ni kuwa yeye. Hii ilinifundisha sana kuwa mimi na kunipa moyo wa kujiamini katika maisha”alisema Kim Kardashian.

Unaweza ukabonyeza kufahamu yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu Kim na Kanye West

VIDEO DIAMOND AFUNGUKA KUKUTANA NA MSANII MKUBWA WA MAREKANI “KUNA VITU TULIFANYA”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments