Habari za Mastaa

Utapenda kuiona hii mpya kutoka kwa Victoria Kimani; ‘Booty Bounce’ – (Video)!

on

Msanii wa muziki kutoka Chocolate City, Victoria Kimani anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani… Baada ya kuachia audio ya single yake mpya Booty Bounce single iliyosimamiwa na Mtayarishaji Reinhard, msanii huyo kutoka Kenya amerudi tena kuisambaza official music video ya wimbo huo.

KIMANI4

Hapo awali Victoria Kimani ameweza kuzikamata chati za countdown na nyimbo zake kama ‘Show’, ‘Two Of Dem’, ‘Prokoto’ (feat Diamond Platnumz & Ommy Dimpoz) na sasa wimbo wake mpya wa ‘Booty Bounce’ umeanza kuweka headlines mpya kama hit single nyingine inayokuja kusumbua chati za countdown mbali mbali Africa.

KIMANI3

Wimbo huu unapatikana kwenye Album mpya ya Kimani inayotegemea kuwa sokoni very soon, lakini kama bado video hii haijagusa macho yako basi feel free kuicheki video hiyo hapa chini.

 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

 

Soma na hizi

Tupia Comments