Habari za Mastaa

(Video)…Victoria Kimani katuletea hii nyingine mtu wangu ‘Two of dem’…

on

KIMAN

Moja ya mstaa wa kike wanaofanya vyema katika game ya burudani ni pamoja na Victoria Kimani kutoka Kenya..’Prokoto’ ni moja ya wimbo wake uliovuma sana akiwashirikisha mastaa wa kibongo Diamond pamoja na Ommy Dimpoz.

Leo katuletea video ya wimbo wake mpya ‘Two of Dem’

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie

Tupia Comments