Leo May 11, 2018 Mlemavu Catherine John mkazi wa Arusha ambaye anafanya kazi mbili kutengeneza urembo wa viatu pamoja na kuuza viazi amesaidiwa na kundi la Friends of Batuli msaada wa wheel chair pamoja na fedha za kujikwamua baada ya kuonyesha utofauti.
Msaada huo umekabidhiwa na Batuli Kisaya amabaye ni msemaji wa kundi hilo nakauhidi kuendelea kumsaidia mtoto wake ambaye baba yake alikimbia.
OPERESHENI NZAGAMBA: ‘Tutataifisha ng’ombe na sitochoka mpaka December” Waziri Mpina