Habari za Mastaa

Ni kweli Lil Kim ni mjamzito, wengi walitaka kumjua baba… ndio huyu

on

kim2Baada ya taarifa za Lil Kim kuwa mjamzito swali lililobakia ni kujua nani ndio baba wa mtoto huyo atakayezaliwa mwaka huu?

Jibu ni kwamba rapper Mr. Papers ndio baba wa mtoto huyo ambaye ni wa kwanza kwa Lil Kim na wa pili kwa Mr. Papers kwasababu ana mtoto mmoja ambaye ana miaka 4.

Mr. Papers alisema Kim anategemea kujifungua kwenye mwezi wa tano au wa sita na ni mtoto wa kiume ambae bado hawajachagua jina la kumpa.

Inaaminika Lil Kim atatimiza miaka kati ya 39 au 40 July 11 mwaka huu.

mr-papers-lil-kimScreen Shot 2014-02-15 at 6.22.00 PM

Tupia Comments