Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Maamuzi mapya ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu mauaji ya wakulima na wafugaji
Share
Notification Show More
Latest News
Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
January 27, 2023
Picha: Mwili wa Mtanzania aliefia kwenye vitani urusi, waagwa kwa picha nyumbani kwao
January 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > VIDEO: Maamuzi mapya ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu mauaji ya wakulima na wafugaji
Mix

VIDEO: Maamuzi mapya ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu mauaji ya wakulima na wafugaji

January 3, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Leo January 3, 2017 Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amefika katika kijiji cha Tindiga kilichopo wilaya ya Mikumi zilipotokea vurugu zilizopelekea mkulima mmoja kuchomwa mkuki mdomoni na kutokea shingoni na kusikiliza kero zinazowasumbua wananchi wa Kilosa kabla ya kutoa maamuzi. 

Waziri Mwigulu amesema kuanzia sasa likitokea tukio lolote la watu kuuana kwa mapanga, mikuki, sime  na silaha zozote za jadi zinazotumiwa hasa na wakulima na wafugaji, serikali itafuta utaratibu wa kubeba silaha hizo na atakayebeba atakamatwa na kuchukuliwa hatua kama watuhumiwa wengine.

Kinginie alichoagiza Waziri Mwigulu ni wakuliam na wafugaji kwa pamoja kuwakamata watu wote watakaohusika na kuanzisha vurugu na kuwafikisha kwenye vyombo vya dola kabla jeshi la polisi halijafanya maamuzi yake.

“Kuanzia leo tunaanza kuhesabu pakitokea tukio lolote la vurugu na zikatumika silaha kuwadhuru wananchi, tutafuta utaratibu wa watu kutembea na silaha mitaani, na ukikutwa nayo unakamatwa kama ambavyo mtu mtu mwenye silaha ya moto na hajaiandikisha. Hatuwezi kuruhusu hii ikawa nchi ya watu wanakatanakatana tu” – Waziri Mwigulu Nchemba

Kufahamu kila kitu WaziriMwigulu amekizungumza, Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Ulipitwa na taarifa ya Daktari aliyemfanyia upasuaji mkulima aliyechomwa mkuki mdomoni na ukatokea shingoni? Tazama hapa chini

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

TAGGED: mwigulunchemba, Polisi, siasa
Admin January 3, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Nigeria yaanza kutekeleza mpango wa kuwapa fedha kila mwezi raia wake
Next Article Simba imeendeleza ushindi Mapinduzi Cup 2017
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”
Top Stories January 27, 2023
Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa
Top Stories January 27, 2023
Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa
Entertainment January 27, 2023
Mkali Lord Eyez ametuletea hii collabo yake akiwa na Adiana Ross
Entertainment January 27, 2023

You Might also Like

Entertainment

Mkali Brand TZ kutokea Bongo Flevani kaachia hii EP yake mpya, isikilize hapa

January 27, 2023
Entertainment

Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar, 27th Jan Elements Masaki

January 27, 2023
Entertainment

Mabibi na Mabwana Nuh Mziwanda ametuletea hii single mpya ‘Nikizipata’

January 26, 2023
Entertainment

PROFILE: Mfahamu Vido Vidox, ripota wa Ayo TV kwa stori za mastaa!!

January 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?