Michezo

PICHA 7: Muonekano wa ndege mpya itakayotumiwa na mashabiki wa Arsenal

on

Club ya soka kutoka nchini Uingereza ambayo ina udhamini wa kutosha kampuni ya ndege ya Fly Emirates, imeonesha ndege yake mpya itakayotumika kuanzia mwaka huu kwaajili kuwabeba mashabiki wanaokwenda kutazama  mechi zake za nje ya Uingereza na maeneo mengine ya jirani.

Kumbuka tu kwamba pamoja na kuwa ni mashabiki wakubwa wa club hiyo lakini watalipa nauli kama wateja isipokuwa tu watapewa huduma kama wachezaji wa Arsenal.

Muonekano wa kuanzia nje ya ndege hiyo umepambwa na picha za wachezaji wa club hiyo pamoja na logo ya timu hiyo inayotajwa kuwa na mashabiki wengi zaidi nchini Uganda kuliko club nyingine yoyote ya Uingereza.

Nimekuwekea hapa picha 7 za jinsi ndege hiyo inavyoonekana kuanzia nje mpaka ndani.

arsenal-plane-02

arsenal-plane-03nu

dqp_bem_230316airbus_20jpg

dqp_bem_230316airbus_58jpg

inside-the-arsenal-plane

inside-the-arsenal-plane-2

VIDEO: Yapo hapa Magoli yote ya mechi ya AZAM FC na YANGA Kombe la Mapinduzi, Bonyeza play kusikiliza

Soma na hizi

Tupia Comments