Habari za Mastaa

Nimekuwekea hapa Video na Picha za jumba jipya la kisasa la Cinema Mwanza

on

Kwa muda mrefu jiji la Mwanza halikuwa na ukumbi wa Cinema wa kisasa kama ilivyo kwenye miji mingine ya Dar na Arusha ambako kote kuna kumbi za kisasa za kutazamia movie. Leo nimezipata hizi picha na Video za jumba jipya la kisasa la Cinema “Mesterious Cinematix”.

Jumba hili jili liko ndani ya Rock City Mall ya jijini Mwanza, na limegawanya katika sehemu mbili ambazo ni Sreen A na Screen B ambapo Screen A ina uwezo wa kuchukua watu 109 wakati Screen B inachukua 90 kwa wakati mmoja.

whatsapp-image-2017-01-03-at-21-19-57

Manish Ruparelia (Afisa Uhusiano Mesterious Cinematix)

whatsapp-image-2017-01-03-at-20-58-22

Seat nyeusi ni VIP zinalipiwa shilingi 15,000

whatsapp-image-2017-01-03-at-21-19-54

Seat nyekundu ni kawaida zinalipiwa shilingi 10,000

whatsapp-image-2017-01-03-at-21-19-55 whatsapp-image-2017-01-03-at-21-19-56

Unaweza kuangalia hapa muonekano wa ndani wa jumba hili la Cinema.

VIDEO:

Soma na hizi

Tupia Comments