Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Msimamo wa Serikali ya Tanzania kuhusu mgogoro wa mipaka na Malawi
Share
Notification Show More
Latest News
Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Msimamo wa Serikali ya Tanzania kuhusu mgogoro wa mipaka na Malawi
Mix

Msimamo wa Serikali ya Tanzania kuhusu mgogoro wa mipaka na Malawi

January 5, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Leo January 5, 2017 Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa taarifa yake kuhusu kinachoendelea kwenye mgogoro wa mipaka uliozuka miaka michache iliyopita baada ya Malawi kueleza kuwa inalimiliki Ziwa Nyasa lote.

Kwa mujibu wa taarifa ya Mindi Kasiga Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Tanzania amesema kuwa Serikali inategemea kufanya mikutano ya Tume ya Kudumu ya Ushirikiano ambapo suala la mipaka litajadiliwa ili kufikia muafaka wa kidiplomasia na Malawi hivi karibuni.

“Mambo makubwa ambayo tutayazingatia kwenye mkutano huo ni pamoja na mgogoro wa Ziwa Nyasa ambao kwa sasa uko kwa wasuluhishi na tuliambiwa tusiongelee chochote kwasababu kama tukiuongelea itakuwa kama hatuhitaji muafaka wa mazungumzo ya usuluhishi” – Msemaji Wizara Mambo ya Nje (Tanzania)

Kufahamu kila kitu serikali imekisema, tazama video hapa chini.

VIDEO: Yapo hapa MAMBO MATANO yanayomleta Waziri wa Mambo ya Nje wa China nchini Tanzania, Tazama Video hii hapa chini.

You Might Also Like

Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 17, 2022

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

TAGGED: malawi, siasa, Tanzania
Admin January 5, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: ‘Hatutamhukumu mtu kwa kazi anayoifanya, tutamhukumu kwa kosa analolifanya’-Waziri Nchemba
Next Article Simba imelazimishwa sare na Mabingwa watetezi wa Mapinduzi Cup
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
Entertainment August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 18, 2022

August 18, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 16, 2022

August 16, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 15, 2022

August 15, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?