Ad

Top Stories

VIDEO FUPI: Rais Magufuli alivyopiga simu leo kwenye Clouds360 ya Clouds TV

on

Leo December 30, 2016 Clouds 360 ya Clouds TV ikiwa inafanya kipindi chake cha mwisho kwa mwaka huu, wamepokea simu ya moja kwa moja kutoka kwa Rais John Magufuli ambaye yuko mapumzikoni nyumbani kwake Chato.

Kusikia alichokizungumza Rais Magufuli Bonyeza play hapa chini.

VIDEO: Ulimiss kusikia Simu ya kwanza kupigwa na Rais Magufuli kwenye TV Live? Bonyeza hapa kusikiliza

Soma na hizi

Tupia Comments