Habari za Mastaa

AUDIOMpya: NavyKenzo na Alikiba wanakualika kuisikiliza hii single yao mpya “Lini”

on

Siku tisa baada ya kuiachia albam yao mpya “Above In a Minute – AIM”, kundi la mastaa ambao ni wapenzi pia “Navy Kenzo” kutoka Code 255 ya BongoFlava, wameiachia single nyingine mpya yenye collabo ya staa mwimbaji Alikiba iitwayo “Lini”.

Hii ni track namba moja kwenye albam ya AIM iliyoachiwa January 1, 2017 ikiwa ni albam ya kwanza kutoka kwa mastaa hao na albam ya kwanza kuachiwa ndani ya mwaka 2017.

Nakusogezea audio hii uisikilize na kuidownload HAPA

VIDEO: Navy Kenzo pia wametupatia list yote ya wasanii waliopewa collabo kwenye albam yao mpya. Bonyeza play hapa chini kuwafahamu

 

Soma na hizi

Tupia Comments