Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Mhadhiri wa chuo akamatwa kwa rushwa ya ngono
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 26, 2023
September 26, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 26, 2023
September 26, 2023
Mhe. Kairuki asisitiza Vyombo vya Habari Kutangaza Utalii duniani
September 25, 2023
Wanyama wakali na waharibifu kushughulikiwa na Jeshi la Uhifadhi
September 25, 2023
Wanawake wa kiislamu waomba msaada ujenzi wa makao makuu, Bihimba awapa tofali 1,000
September 25, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > VIDEO: Mhadhiri wa chuo akamatwa kwa rushwa ya ngono
Mix

VIDEO: Mhadhiri wa chuo akamatwa kwa rushwa ya ngono

January 13, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Leo January 13, 2017 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kipolisi Kinondoni imetoa taarifa ya kumkamata Samson Mahimbo mkazi wa Makongo Juu Dar es salaam ambaye ni Mhadhiri Msaidizi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kwa tuhuma za rushwa ya ngono dhidi ya mwanafunzi wa chuo hicho.

Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kinondoni, Denis Manumbu amezungumza na AYO TV pamoja na millardayo.com na kueleza kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa baada ya kuwekewa mtego kutokana na taarifa iliyotolewa na mwanafunzi aliyeombwa rushwa hiyo ili aweze kumpatia matokeo mazuri ya mtihani wake wa marudio (Supplementary Exams).

“Bwana Mahimbo alimtaka mtoa taarifa (Mwanafunzi) kufika katika Bar ya Shani iliyoko maeneo ya Sinza jirani na Bar ya Meeda na alitii agizo hilo ambapo walikutana na akapewa majibu ya mtihani wa somo la Road Transport, na kuyaandika ili arekebishe mtihani wake alioufanya Janury 5, 2017”

Baada ya marekebisho hayo mtuhumiwa pamoja na mtoa taarifa walielekea katika nyumba ya kulala wageni ya Camp David na kuingia katika moja ya vyumba vya nyumba hiyo, wakati akiwa tayari ameshajiandaa kwaajili ya kutekeleza azma yake ya kumuingilia kimwili mtoa taarifa, ndipo alikamatwa na maafisa wa TAKUKURU” – Kaimu Mkuu wa TAKUKURU

Stori kamili iko kwenye video hii hapa chini. Bonyeza play kuitazama.

VIDEO: Ilikupita hii ripoti ya tuhuma za Rushwa Tanzania? Waziri Mkuu Majaliwa ameizungumzia hapa. Bonyeza play kutazama.

You Might Also Like

Mkutano wa IAWP New Zealand wafungwa, CP Kaganda awakaribisha Wajumbe Tanzania

EWURA kutokomeza mafuta ya makopo vijijini

Mradi wa Umeme wa Upepo wa Zanzibar wapamba moto

Joe Biden atuma salamu za pole kwa Mfalme wa Morocco

Rais Samia azindua ujenzi wa soko la Kizimkazi

TAGGED: chuo, Mix, RUSHWA, TAKUKURU
Admin January 13, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEOMPYA: Rapper Falz wa Nigeria ametuletea hii video mpya ya ‘Weh done sir’
Next Article VideoFUPI: Saloon yabuni njia ya kuzichoma moto nywele badala ya kuzinyoa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 26, 2023
Top Stories September 26, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 26, 2023
Top Stories September 26, 2023
Mhe. Kairuki asisitiza Vyombo vya Habari Kutangaza Utalii duniani
Top Stories September 25, 2023
Wanyama wakali na waharibifu kushughulikiwa na Jeshi la Uhifadhi
Top Stories September 25, 2023

You Might also Like

Top Stories

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 26, 2023

September 26, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 26, 2023

September 26, 2023
Top Stories

Mhe. Kairuki asisitiza Vyombo vya Habari Kutangaza Utalii duniani

September 25, 2023
Top Stories

Wanawake wa kiislamu waomba msaada ujenzi wa makao makuu, Bihimba awapa tofali 1,000

September 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?