Habari za Mastaa

Soulja Boy na Chris Brown waingia kwenye beef kisa Karueche

on

Kama utakumbuka ni muda umepita tangu staa Chris Brown aachane na ex-girlfriend wake Karueche, na wawili hawa hawajaonekana pamoja kwa muda. Headlines zimesambaa baada rapper Soulja boy kutumia ukurasa wake wa Twitter na kuandika kuwa Chris Brown alimpigia simu na kumwambia atampiga kisa ame-LIKE picha za Karueche Instagram.

soulja-boy1

 

Baada ya video hiyo ya Soulja boy ambayo pia alimkumbushia Chris kwamba ‘kisa ulimpiga Rihanna unadhani unaweza kumpiga kila mtu, mimi nitakupiga

Chris Brown alitumia ukurasa wake wa Instagram kumwambia Soulja boy aache unafiki, aache kuongelea stori za Rihanna kwasababu huu ni mwaka mwingine hayo mambo yalishapita na kama vipi yeye ataandaa mchuano wapigane kabisa kama ndicho anachotaka.

@souljaboy

A video posted by 1 YOU ❤️ 2 HATE (@chrisbrownofficial) on

Video: Chris Brown alivyo perfom kwenye Mombasa Rocks Festival nchini Kenya>>>

 

Soma na hizi

Tupia Comments