Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 18: Jumba la Tsh. Bilioni 21 alilonunua DJ Khaled
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi
August 18, 2022
Huyu ndiye Rais aliyekataa mshahara wake kwa miezi nane, Ukali wake baada ya meya kununuliwa VX
August 18, 2022
Utacheka vituko vya RC Makongoro, agusia Uongozi wa JPM, “Sijaambulia kitu, ila Mama kanipa heshima”
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Nyumba/ Mijumba > PICHA 18: Jumba la Tsh. Bilioni 21 alilonunua DJ Khaled
Nyumba/ Mijumba

PICHA 18: Jumba la Tsh. Bilioni 21 alilonunua DJ Khaled

January 11, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Rapa na DJ mwenye heshima yake kwenye game ya Hip Hop kutoka Marekani, DJ Khaled amenunua jumba la kisasa kutoka kwa msanii mwenzake Robbie Williams lililoko jijini Los Angeles, jumba hilo limenunuliwa na DJ Khaled kwa zaidi ya shilingi za Tanzania bilioni 21.

Ukiwa ndani ya mjengo huo utakutana na bafu 11, vyumba vya kulala 7, na uko kwenye eneo la ukubwa wa futi za mraba 10,681 na ulikuwa unauzwa kwa dola milioni 11 lakini Khaled aliomba punguzo na kuuziwa kwa dola milioni 9.9 za marekani ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 21 za kibongo.

Nimekuwekea hapa picha zote za mjengo wa rapa DJ Khaled ambaye pia ni mmiliki wa lebel ya We The Best Music Group. 

3be7252f00000578-4095820-take_a_dip_there_is_also_a_swimming_pool_fireplace_and_barbeque_-a-84_1483736746376 3be7253b00000578-4095820-always_fit_owners_will_always_have_an_attached_gym_to_work_out_i-a-81_1483736746139 3be7262c00000578-4095820-spa_there_is_also_a_spa_like_bathroom_in_the_house-a-83_1483736746190 3be7264c00000578-4095820-luxurious_the_expansive_master_bedroom_leads_out_on_to_a_terrace-a-80_1483736746131 3be7265d00000578-4095820-fancy_the_chef_s_kitchen_comes_equipped_with_center_island-a-75_1483736745811 3be7267b00000578-4095820-rich_the_furniture_has_a_classic_yet_modern_touch_to_it-a-78_1483736746085 3be7268f00000578-4095820-image-a-76_1483731466332 3be7269f00000578-4095820-image-a-52_1483730749644 3be7253400000578-4095820-entertaining_space_the_garden_has_an_outdoor_kitchen_covered_din-a-82_1483736746162 3be7262700000578-4095820-bright_a_majority_of_the_rooms_including_seven_bedrooms_are_full-a-79_1483736746108 3be7250700000578-4095820-lots_of_space_the_three_quarter_acre_garden_is_described_as_fest-a-86_1483736746455 3be7264400000578-4095820-stunning_the_spacious_family_property_boasts_spectacular_views_o-a-85_1483736746390 3be7266300000578-4095820-spacious_windows_and_doors_leading_to_the_outside_fill_the_house-a-74_1483736745800 3be7267100000578-4095820-french_style_the_house_gives_off_a_very_european_feel-a-77_1483736745904 3be7268500000578-4095820-white_theme_the_dining_room_with_the_mirrored_wall_reflect_the_t-a-76_1483736745864 3be7269800000578-4095820-image-a-53_1483730771438 djjj

VIDEO: Ulikosa kuitazama nyumba inayojengwa na mastaa wa crew ya Navy Kenzo? Nimekuwekea hapa chini.

You Might Also Like

Dj Khaled ametuletea hii video mpya ‘Staying alive’ akiwa na Drake na Lil Baby

Maisha ya Mwanajeshi wa Marekani mwenye asili ya Tanzania David Mlay ‘Kulipwa laki 1 kwa saa’

Picha: Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour umenoga Mkoani Arusha

Audio MPYA: Mkali Jack Harlow katuletea mdundo huu ‘First Class’

Makala:Royal tour Los Angeles, Ulinzi mzito wa Rais Samia, atania ‘Ningemfunga, alijisahau’

TAGGED: majumba, Marekani, Pichaz
Admin January 11, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article BREAKING: Mbunge wa Kilombero Morogoro ahukumiwa miezi 6 jela
Next Article Baada ya Mbunge wa Kilombero kuhukumiwa miezi 6 jela, sheria inasemaje kuhusu Ubunge wake?
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
Mix August 18, 2022
Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi
Top Stories August 18, 2022
Huyu ndiye Rais aliyekataa mshahara wake kwa miezi nane, Ukali wake baada ya meya kununuliwa VX
Top Stories August 18, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi

August 18, 2022
Top Stories

Utacheka vituko vya RC Makongoro, agusia Uongozi wa JPM, “Sijaambulia kitu, ila Mama kanipa heshima”

August 18, 2022
Top Stories

Shaka: CCM inafuatilia kwa karibu utekelezaji mkakati wa kuwakwamua vijana

August 18, 2022
Top Stories

Jamaa ajikata koromeo makusudi aeleza sababu ‘Maisha ni magumu, ajira zinasumbua’

August 17, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?