Michezo

TOP 100: List ya mastaa wa soka wenye thamani kubwa zaidi duniani

on

Huenda ikakushtua kutokana na majina ya wanasoka waliotajwa kwenye list hii. Kwa mujibu wa majaji wa CIES Football Observatory wamemtaja staa wa soka kutoka Brazil ambaye anakipiga ndani ya club ya Barcelona na timu ya taifa Brazil, Neymar kuwa ndiye mchezaji mwenye thamani zaidi duniani.

Neymar da Silva Santos Júnior amewapita kwa mbali mastaa wengine wenye majina makubwa na upinzani wa kisoka kwasasa, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kwenye list hii.

List ya CIES Football Observatory imepangwa na majaji kwa vigezo vya kiasi cha pesa atakachohitaji mchezaji husika kama ataondoka kwenye club ya sasa, kwa upande Neymar ripoti zinasema kama kuna timu itataka kumchukua kutoka Barcelona itatakiwa kulipa si chini ya Pauni milioni 217 hadi milioni 128 ikiwa zaidi ya kiwango kilicholipwa kwenye uhamisho wa mchezaji wa Manchester United, Paul Pogba Pauni milini 89.

Thamani ya Messi mpaka sasa inakadiriwa kufikia Pauni milioni 150 ikiwa imeshuka kwa pauni milioni 35 kutoka thamani aliyotajwa kuwa nayo kwenye list ya mwezi January 2016. Mastaa wengine kutoka club za Tottenham Hotspur na kutoka England, Harry Kane na Dele Alli wametajwa ndani ya Top 10.

Nimekuwekea hapa FULL LIST ya mastaa wa soka waliotajwa kuwa na thamani kubwa zaidi duniani mwaka 2017

1. Neymar (Barcelona and Brazil) – £217m
2. Lionel Messi (Barcelona and Argentina) – £150m
3. Paul Pogba (Manchester United and France) – £136.5m
4. Antoine Griezmann (Atletico Madrid and France) – £132.2m
5. Luis Suarez (Barcelona and Uruguay) – £127.7m
6. Harry Kane (Tottenham Hotspur and England) – £122.4m
7. Cristiano Ronaldo (Real Madrid and Portugal) – £111.2m
8. Paulo Dybala (Juventus and Argentina) – £100m
9. Dele Alli (Tottenham Hotspur and England) – £97m
10. Eden Hazard (Chelsea and Belguim) – £89m
11. Gonzalo Higuain (Juventus and Argentina) – £86m
12. Anthony Martial (Manchester United and France) – £81.3m
13. Raheem Sterling (Manchester City and England) – £75.2m
14. Gareth Bale (Real Madrid and Wales) – £73.8m
15. Yannick Ferreira Carrasco (Atletico Madrid and Belguim) – £73m
16. Sergio Aguero (Manchester City and Argentina) – £70m
17. Riyad Mahrez (Leicester City and Algeria) – £68.7m
18. Mauro Icardi (Inter Milan and Argentina) – £68.3m
19. Kevin de Bruyne (Manchester City and Belguim) – £67.5m
20. Alexis Sanchez (Arsenal and Chile) – £67.1m
21. N’Golo Kante (Chelsea and France) – £65.5m
22. Alvaro Morata (Real Madrid and Spain) – £64.1m
23. Toni Kroos (Real Madrid and Germany) – £62.8m
24. Ousmane Dembele (Borussia Dortmund and France) – £62.4m
25. Romelu Lukaku (Everton and Belgium) – £62.3m
26. Christian Eriksen (Tottenham Hotspur and Denmark) – £62.2m
27. Robert Lewandowski (Bayern Munich and Poland) – £61.9m
28. Hector Bellerin (Arsenal and Spain) – £61.8m
29. Eric Dier (Tottenham Hotspur and England) – £61.1m
30. Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund and Gabon) – £60.5m
31. Koke (Atletico Madrid and Spain) – £59m
32. Diego Costa (Chelsea and Spain) – £58.3m
33. Leroy Sane (Manchester City and Germany) – £57.4m
34. Saul Niguez (Atletico Madrid and Spain) – £57.2m
35. Mohammed Salah (Roma and Egypt) – £57m
36. Raphael Varane (Real Madrid and France) – £56.3m
37. Thomas Muller (Bayern Munich and Germany) – £55.9m
38. Nicolas Otamendi (Manchester City and Argentina) – £55.5m
39. Sadio Mane (Liverpool and Senegal) – £53.5m
40. Shkrodan Mustafi (Arsenal and Germany) – £53.2m
41. James Rodriguez (Real Madrid and Colombia) – £53.1m
42. Virgil Van Dijk (Southampton and Holland) – £52.9m
43. Jan Oblak (Atletico Madrid and Slovenia) – £52.5m
44. Andre Gomes (Barcelona and Portugal) – £52.2m
45. Roberto Firmino (Liverpool and Brazil) – £48.6m
46. Thibaut Courtois (Chelsea and Belgium) – £48.5m
47. Willian (Chelsea and Brazil) – £48.4m
48. Philippe Coutinho (Liverpool and Brazil) – £48.3m
49. Georginio Wijnaldum (Liverpool and Holland) – £47.2m
50. Miralem Pjanic (Juventus and Bosnia-Herzegovina) – £46.2m
51. Bernardo Silva (Monaco and Portugal) – £46.1m
52. Jamie Vardy (Leicester City and England) – £45.9m
53. Marco Asensio (Real Madrid and Spain) – £45.4m
54. Radja Nainggolan (Roma and Belgium) – £44.5m
55. David Alaba (Bayern Munich and Austria) – £44.4m
56. Lucas Moura (PSG and Brazil) – £44.3m
57. John Stones (Manchester City and England) – £43m
58. David de Gea (Manchester United and Spain) – £42.9m
59. Mateo Kovacic (Real Madrid and Croatia) – £42.8m
60. Michy Batshuayi (Chelsea and Belgium) – £42.3m
61. Samuel Umtiti (Barcelona and France) – £41.9m
62. Mesut Ozil (Arsenal and Germany) – £41.8m
63. Granit Xhaka (Arsenal and Switzerland) – £40.5m
64. Joshua Kimmich (Bayern Munich and Germany) – £40.3m
65. Alexandre Lacazette (Lyon and France) – £40.1m
66. Andrea Belotti (Torino and Italy) – £39.7m
67. Manuel Neuer (Bayern Munich and Germany) – £39.6m
68. Ivan Rakitic (Barcelona and Croatia) – £39.5m
69. Son Heung-Min (Tottenham Hotspur and South Korea) – £39.4m
70. Sergio Busquets (Barcelona and Spain) – £39.2m
71. Antonio Rudiger (Roma and Germany) – £39.1m
72. Mats Hummels (Borussia Dortmund and Germany) – £38.2m
73. Jerome Boateng (Bayern Munich and Germany) – £38m
74. Leonardo Bonucci (Juventus and Italy) – £37.8m
75. Julian Brandt (Bayer Leverkusen and Germany) – £37.7m
76. Daniele Rugani (Juventus and Italy) – £37.5m
77. Piotr Zielinski (Napoli and Poland) – £37.4m
78. Nathan Redmond (Southampton and England) – £37.3m
79. Isco (Real Madrid and Spain) – £37.2m
80. Konstantinos Manolas (Roma and Greece) – £36.8m
81. Angel Correa (Atletico Madrid and Argentina) – £36.5m
82. Dimitri Payet (West Ham United and France) – £36m
83. Fabinho (Monaco and Brazil) – £35.9m
84. Alessio Romagnoli (AC Milan and Italy) – £35.8m
85. Toby Alderweireld (Tottenham Hotspur and Belgium) – £35.7m
86. Alex Sandro (Juventus and Brazil) – £35.6m
87. Denis Suarez (Barcelona and Spain) – £35.5m
88. Cesar Azpilicueta (Chelsea and Spain) – £35.4m
89. Marco Verratti (PSG and Italy) – £35.3m
90. Danny Drinkwater (Leicester City and England) – £35.2m
91. Pedro (Chelsea and Spain) – £35m
92. Douglas Costa (Bayern Munich and Brazil) – £34.6m
93. Emre Can (Liverpool and Germany) – £34m
94. Felipe Anderson (Lazio and Brazil) – £33.5m
95. Marquinhos (PSG and Brazil) – £33m
96. Karim Benzema (Real Madrid and France) – £32.9m
97. Kevin Gameiro (PSG and France) – £32.8m
98. Kalidou Koulibaly (Napoli and Senegal) – £32.6m
99. Renato Sanches (Bayern Munich and Portugal) – £32.2m
100. Michail Antonio (West Ham United and England) – £31.8m

VIDEO: Ulipitwa na hii ya Diamond Platnumz kukabidhiwa bendera na Waziri Nape Nnauye? Unaweza kuitazama hapa chini.

Soma na hizi

Tupia Comments