Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 10: Muonekano wa nje wa ngome ya “Fort Jesus” Kenya
Share
Notification Show More
Latest News
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Miji/Nchi > PICHA 10: Muonekano wa nje wa ngome ya “Fort Jesus” Kenya
Miji/Nchi

PICHA 10: Muonekano wa nje wa ngome ya “Fort Jesus” Kenya

January 11, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

3x6a9453Kutoka Kenya leo January 11, 2017 nimekukusanyia hizi picha 10 zikionesha muonekano wa nje wa iliyokuwa ngome ya utawala wa Ureno wakati wa ukoloni. Ngome hii inapatikana kwenye visiwa vya Mombasa nchini Kenya, iko umbali wa kilomita 490 kutokea jiji la Nairobi.

Fort Jesus (Ngome ya Yesu), ilijengwa na wakoloni wa Kireno kuanzia mwaka 1593 hadi 1596 ikiwa na ramani iliyochorwa na mbunifu wa majengo “Giovanni Battista Cairati” kwa lengo la kulinda bandari ya Mombasa, ngome hii inafananishwa na ngome za taifa la Ureno zilizokuwepo karne ya 16 zikitumiwa na jeshi la nchi hiyo.

Ukubwa wa eneo ilipojengwa ngome hiyo unatajwa kufikai hekta 2.36 zikijumisha eneo la majengo na mazingira yake.

Nimekuwekea hapa picha 10 za jengo hilo kutoka Kenya.

3x6a9460 3x6a9445 3x6a9456 3x6a9452 3x6a9451 3x6a9447 3x6a9448 3x6a9449 3x6a9450

VIDEO: MAGAZETI: IMF yaeleza hali ya uchumi waTZ, Manusura wasimulia ajali ya Jahazi Tanga. Bonyeza play kutazama.

You Might Also Like

Serikali ya Kenya yatangaza masharti, wasafiri kukaa karantini

Noma!! Jamaa alivyowanasa wezi walivyotaka kuiba simu yake (video+)

PICHA 10:Muonekano wa jiji la DAR ukiwa umesimama katika jengo la Palm Village

Je wajua kuhusu Majengo pacha Dar es Salaam, fahamu hapa

PICHA 10:Unahitaji Nyumba au kupanga Mikocheni, Palm Village wana habari njema

TAGGED: Kenya, mombasa, Pichaz
Admin January 11, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Jamaa aliyemtahiri mwanawe kwa kisu kortini Bunda
Next Article BREAKING: Mbunge wa Kilombero Morogoro ahukumiwa miezi 6 jela
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?