Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mabadiliko ya bei za umeme yaliyotangazwa leo
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
March 25, 2023
Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’
March 25, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Mabadiliko ya bei za umeme yaliyotangazwa leo
Mix

Mabadiliko ya bei za umeme yaliyotangazwa leo

December 30, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

October 4 2016 TANESCO iliwasilisha ombo la kupandisha gharama za umeme kwenye mamlaka ya udhibiti wa nishati, maji na mafuta ‘EWURA’ kwa asilimia 18.19 .

Akizungumza leo December 30 2016 na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, mkurugenzi wa mamlaka ya udhibiti wa nishati, maji na mafuta ‘EWURA’ Felix Ngamlagosi amesema baada ya EWURA kufanya uchambuzi wake haikuona sababu ya kuongeza kwa asilimia 18.19 badala yake ikapunguza hadi wastani wa asilimia 8.5.

“Pendekezo lao lilikuwa limnalenga kuongeza bei ya umeme kutoka wastani wa sh 242.2 kwa uniti hadi sh 286 kwa uniti, sasa tumepunguza katika makundi yote ya wateja, na tumekataa kuongeza gharama ya asilimia tano kwenye kundi la watumiaji wa uniti chini ya 75 kwa mwezi”

Kundi la TIB linalohusisha viwanda vidogo, mabango na minara ya mawasiliano litakua na tozo ya mwezi ya shilingi 5,520. Bei hizo zitaanza kutumika Januari Mosi mwaka 2017.

TANESCO inatarajia kufanya maboresho ya msongo wa umeme na kutekeleza miradi mipya ya kuunganisha wateja ili kuboresha huduma za umeme.

VIDEO: Hakikisha hazikupiti hizi kubwa zote kutoka magazeti ya leo Dec 30, 2016. Bonyeza play kutazama.

You Might Also Like

Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

TAGGED: TANESCO, UMEME
Edwin Kamugisha TZA December 30, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Full List: Washindi tuzo za SoundcityMVP2016, Mtanzania ni mmoja
Next Article VIDEO: Rapa Stereo amefunguka ya moyoni na hisia zake kwa Chemical
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
Magazeti March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
Top Stories March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
Entertainment March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
Top Stories March 25, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo

March 25, 2023
Top Stories

Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’

March 25, 2023
Top Stories

Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana

March 25, 2023
Top Stories

Wananchi Wilayani Korogwe wamuomba hili DC Jokate kutafuta ufumbuzi, ‘Changamoto ya Tembo’

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?