Mix

PICHA 17: Harusi ya mtoto wa Rais Buhari wa Nigeria, Wizkid, Dangote walialikwa

on

Ijumaa ya December 16, 2016 ilikuwa siku ya furaha kwa familia ya Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria baada ya mtoto wake wa pili wa kike, Zahara Buhari alifunga ndoa na mpenzi wake “Ahmed Indimi” mfanyabiashara tajiri wa mafuta na mtoto wa bilionea kutoka nchini humo, ndoa hiyo ilifungwa katika msikiti mkuu wa taifa na sherehe zikamalizika kwenye jumba la kifahari la Rais Buhari huko Abuja.

Kwa mujibu wa Daily Trust imeelezwa kuwa mtoto wa Rais Buhari amelipiwa mahari ya vipande 12 vya dhahabu ambavyo vina thamani ya shilingi za Tanzania milioni 17.2

Harusi hiyo ilihudhuriwa na watu maarufu kutoka sehemu mbalimbali akiwemo tajiri wa kwanza Afrika, Aliko Dangote pia alikuwemo star muimbaji Wizkid wa Nigeria. Hapa nimekusogezea picha za tukio hilo.

image

Kamu ceremony of Zahra Buhari's wedding

Kamu ceremony of Zahra Buhari3

Kamu ceremony of Zahra Buhari2

Kamu ceremony of Zahra Buhari

image

image

image

image

image

image

image

image

image

VIDEO: Ulipitwa kutazama kilichotokea kwenye harusi ya mchekeshaji Masanja Mkandamizaji? Nimekuwekea hapa Full Video

Soma na hizi

Tupia Comments