Mix

Kingine kizuri kutoka Bank ya Access ni hii huduma iliyozinduliwa leo #RAHISI

on

DSC_0030

Huenda wewe ni mteja wa Benki ya Access na ulikuwa unatamani kurahisishwa zaidi huduma ya kuweka na kuhamisha pesa zako kwenye account yako.. au wewe ni mteja wa Benki nyingine na unatamani kupata Benki ambayo itakusogezea huduma kirahisi zaidi.

Kuna kero za foleni kila mtu anajua, wala huitaji kupoteza muda mwingi kwenye hizo foleni kuanzia sasa, Access Bank imezindua huduma ya RAHISI.. hii ni rahisi kweli, kwa kutumia simu ya mkononi unaweza kutoa, na kuweka hela kwenye account yako ya Benki ya Access bila gharama yoyote.

DSC_0002

Meneja Mauzo wa Access Bank, Tabuley Njavike na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Roland Coulon.

DSC_0009

DSC_0015

DSC_0021

DSC_0028

Mwenyekiti Mtendaji wa Access Bank, Rouland Coulon akikata utepe kwenye uzinduzi huo.

DSC_0030

DSC_0033

DSC_0043

DSC_0051

Tupia Comments