Habari za Mastaa

PICHA 10: Aina za magari yaliyoendeshwa na mastaa wa Tanzania 2016

on

Kupitia XXL ya Clouds FM iliyoruka December 29, 2016 imetajwa list ya magari yanayomilikiwa na yaliyowahi kumilikiwa na watu maarufu wakiwemo mastaa wa muziki, watangazaji na wacheza filamu. Kwa mujibu wa B Dozen amesema kigezo kilichotumika kuipanga list hii pamoja na mastaa hao kuthibitisha kumiliki magari hayo pamoja na kukutwa wakiyaendesha magari hayo mwaka 2016.

Hapa ni picha 10 za magari hayo.

1. Masoud Kipanya (MTANGAZAJI WA RADIO) – Hummer H3 


2. Diamond Platnumz (MSANII BONGOFLAVA) & Masanja Mkandamizaji (COMEDIAN) – BMW X6 

BMW X6 TYCOON
3. Quick Rocka (MSANII BONGOFLAVA) – Range Rover Spot


4. Wema Sepetu (MREMBO/MCHEZA FILAMU) – Range Rover E Vogue


5. Gadner G Habash (MTANGAZAJI WA RADIO) & Shetta (MSANII BONGOFLAVA) – Discovery 3


6. Alikiba (MSANII BONGOFLAVA) – BMW X5


7. Madee (MSANII BONGOFLAVA)-  Toyota Prado


8. Nay wa Mitego (MSANII BONGO FLAVA) – Toyota Prad0


9. Idriss Sultan (COMEDIAN/MTANGAZAJI WA RADIO)- BMW M3, Altezza & Harrier


10. Professa Jay (MBUNGE/MSANII HIP HOP) – Land Cruiser V8

AUDIO: Alichokisema Meneja Mubenga kuhusu Ommy Dimpoz na sababu za kuacha kumsimamia. Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments