Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: TOP NEWS: Hakikisha hazikupiti hizi kubwa zote kutoka magazeti ya leo Dec 30, 2016
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > TOP NEWS: Hakikisha hazikupiti hizi kubwa zote kutoka magazeti ya leo Dec 30, 2016
Habari za Mastaa

TOP NEWS: Hakikisha hazikupiti hizi kubwa zote kutoka magazeti ya leo Dec 30, 2016

December 30, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimekuwekea hapa habari kubwa za leo kutoka kwenye magazeti ya Tanzania, waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.

#MWANANCHI Wakati kasi ya wanawake kuzaa ikipungua, inaelezwa kuwa idadi ya wanaume wanaofunga vizazi inazidi kuongezeza nchini Tanzania pic.twitter.com/EwBLev3eIh

— millardayo (@millardayo) December 30, 2016

#TANZANIADAIMA Polisi Arusha imewataka madereva wa magari "Subaru na Altezza kuacha maonesho ya kukimbiza magari kwani wanahatarisha usalama pic.twitter.com/oz1k4r8A2A

— millardayo (@millardayo) December 30, 2016

#MWANANCHI Mahakama ya Ilala imemuhukumu Kassim Salum kwenda jela maisha baada ya kupora simu aina ya Tecno ya Tsh 110,000 kwa kutumia nguvu pic.twitter.com/HZVisOaP8t

— millardayo (@millardayo) December 30, 2016

#MWANANCHI Tahadhari imetolewa juu ya joto ambalo linaongezeka hasa DSM kuwa linaweza kusababisha wadudu na wanyama hatari kuingia majumbani pic.twitter.com/qDGzTtzkfW

— millardayo (@millardayo) December 30, 2016

#MTANZANIA Ripoti mpya za faru John zinasema alikuwa akiwapanda watoto wake, kuwaua wengine na pembe yake ilikatwa tofauti na iliyokabidhiwa pic.twitter.com/TqPWgu9jSJ

— millardayo (@millardayo) December 30, 2016

#HABARILEO Serikali imesema Watanzania 8 waliokamatwa Malawi si majasusi wa serikali bali ni wafanyakazi wa taasisi ya misaada ya Caritas pic.twitter.com/NG7cqHyIZC

— millardayo (@millardayo) December 30, 2016

#MTANZANIA Hospitali ya Rufaa ya Bombo Tanga haina dawa maalum za usingizi kwaajili ya wagonjwa wanaohitaji upasuaji ikiwa ni siku ya 3 sasa pic.twitter.com/ldUS2YTTDm

— millardayo (@millardayo) December 30, 2016

#TANZANIADAIMA Serikali ya Rais Obama inatarajia kutangaza kuiwekea vikwazo nchi ya Urusi chini ya Rais Putin, inaituhumu kuingilia uchaguzi pic.twitter.com/6g7hesoKAD

— millardayo (@millardayo) December 30, 2016

#MWANANCHI Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania TPSF, inatarajia kuishauri serikali kupunguza Kodi ya Ongezeko la Thamani VAT ktk bajeti ijayo pic.twitter.com/C5Radtcf8E

— millardayo (@millardayo) December 30, 2016

#UHURU Serikali kupitia wizara ya Ardhi imetoa onyo kali kwa wanaotumia kisingizio cha migogoro ya ardhi kusababisha uvunjifu wa amani pic.twitter.com/UGcI33ug85

— millardayo (@millardayo) December 30, 2016

VIDEO: AYO TV Magazeti, Hakikisha hazikupiti hizi kubwa zote kutoka magazeti ya leo Dec 30, 2016. Bonyeza hapa chini kutazama

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Harmonize aibua mapywa, afichua ya Dada wa Diamond, aeleza alivyoshiriki kwenye wimbo huu mpya

Tazama Diamond ‘Sheikh Mansoor’ akiwapokea Watoto wake Airport na Rolls Royce ‘Tiffah na Nillah’

TAGGED: AyoTV Magazeti, Magazeti TopNews, top10 Magazeti
Admin December 30, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article AyoTVMAGAZETI: Makubwa yafichuka Faru John, Sakata la Watanzania, Malawi laibua mapya
Next Article PICHA 10: Aina za magari yaliyoendeshwa na mastaa wa Tanzania 2016
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?