Sultan King ni moja ya mastaa wa muziki wanaofanya poa toka visiwani Zanzibar, stori zikapenya mpaka kwa Soudy Brown eti jamaa kampa ujauzito mwanamke wa kizungu na Ndoa yake imevunjika !!
Mwenyewe anasema kwamba ni kweli alikuwa kwenye show nje ya Tanzania, na huko ana mpenzi wake pamoja na mtoto, story za kumpa ujauzito mwanamke mwingine na Ndoa yake kuvunjika hazina ukweli wowote, huo ni uzushi tu !!
Sultan King na Soudy Brown kwenye U Heard September 11 2015, sauti nimeirekodi na kukuwekea hapa mtu wangu.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos