Habari za Mastaa

VIDEOMPYA: Baada ya kimya kingi, Joslin wa Wakali Kwanza ametuletea hii “Only You”

on

Ule usemi wa kimya kingi kinakuwa na mshindo mkubwa, inaweza kuwa ni jibu la Joslin, rapa na muimbaji aliyepata kushine kwenye game ya BongoFlava akiwa na kundi la Wakali Kwanza miaka kadhaa iliyopita na leo ametuletea video yake mpya “Only You”.

Audio ya single hii imefanywa ndani ya studio za MJ Records chini ya producer Beef Chali ambaye ni mdogo wa Marco Chali, producer mkubwa na mwenye heshima Tanzania na Afrika Mashariki ambaye naye amehusika kwenye kuifanyia mixing na mastering single hiyo na kwa upande wa video imefanywa na director Rich Cashx.

Unaweza kuitaza hapa chini.

VIDEO: Nimempata Babu Tale na ameeleza kila kitu kuhusu Beef yake na Tunda Man, Bonyeza play hapa chini.

VIDEO: Producer Master J na plan zake za kurudi kutayarisha muziki tena amejibu kila kitu hapa. Bonyeza Play kutazama.

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments