Habari za Mastaa

VIDEO: Rapa Stereo amefunguka ya moyoni na hisia zake kwa Chemical

on

Rapper Stereo a.k.a Singa Singa ni moja kati ya Rappers waliopiga hatua kubwa katika game ya Hip Hop Tanzania, na leo amekutana na Ayo Tv ambapo amezungumza mambo mengi, lakini akiwa kwenye interview Rapper huyo alikosa uvumilivu na kuweka wazi hisia zake juu ya rapper wa kike kutoka tanzania ‘Chemical’

“Naweza kusema nampenda sijui nani labda Stosh, Rosa Lee lakini nampenda Chemical namzimia kiukweli Chemical na hata ukiniuliza kwanini sidhani kama naweza kusema. Kila mtu anajua kinachomvutia kwa mtu anayempenda na naomba tu nimwambie hapa Chemical, I Love You, I Feel You Chemical” – Stereo

Kutazama zaidi bonyeza play hapa chini.

AUDIO: Uliimiss INTERVIEW ya Meneja Mubenga kwenye XXL ya Clouds FM kuhusu kutofautiana na Ommy Dimpoz? Sikiliza hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments