AyoTV

VIDEO: Mtazame Mbunge Agness Marwa akitamani hata kulia kisa ishu ya Bunge Live

on

May 13 2016 Bunge la 11 limeendelea, Wakati wa kuchangia Bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iliyosomwa na Waziri wake Nape Nnauye Mbunge wa viti maalum CCM Agness Marwa ametoa hiki kionjo cha kutaka kulia wakati akichangia hotuba hiyo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments