AyoTV

Angalia LIVE Katibu Mkuu wa TFF anaongea na waandishi wa habari

on

June 15 2017 Katibu Mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF Selestine Mwesigwa anaongea na waandishia wa habari, hiyo ikiwa ni siku mbili zimepita toka Baraza la Michezo Tanzania BMT kusitisha mchakato wa uchaguzi Mkuu wa TFF kwa madai kuwa hawajatoa taarifa BMT.

Unaweza kutazama LIVE hapa anachozungumza Selestine Mwesigwa na Waandishi wa Habari

VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera

Soma na hizi

Tupia Comments