Top Stories

Alichokifanya Mavunde kwa mtoto aliyekatwa miguu yote hospitali ya Mkapa

on

January 23, 2019 Naibu Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshugulikia Kazi, Ajira na Vijana ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma Mjini Anthony Mavunde ametimiza ahadi ya kumkabidhi katika shule ya Fountain Gate Academy mtoto Christopher Elias ambaye alikatwa miguu yote katika hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma baada ya kupatikana na maradhi ambayo hayakubainishwa kwa sababu za kitaalam.

Ikumbukwe kuwa Mavunde alitoa ahadi ya kumsomesha mtoto huyo katika shule yenye ubora kielimu alipokwenda kumtembelea hospitalin hapo August 28, 2018 mara baada ya kwenda kumpatia msaada wa miguu ya bandia

Soma na hizi

Tupia Comments