Top Stories

Kipigo cha Simba, DC Jokate afunguka “wamenivalisha Jezi kwa Upendo” (video+)

on

Septemba 19, 2021 ndio ilikuwa kilele cha wiki ya Simba yaani Simba Day ambapo mashabiki wa timu hiyo walijitokeza kwa wiki katika uwanja wa Benjamin Mkapa na inaelezwa hadi sasa tiketi zimeuzwa zote.

Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea video ushuhudie alichokizungumza Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo kuhusiana kuhamia Simba SC na mengineyo.

Soma na hizi

Tupia Comments