Top Stories

Kiroho safi Magufuli aruhusu makontena yauzwe “Na sisi tupate hela mtalindwa” (+video)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, ameiagiza Kampuni ya Barrick Gold, kuyachukua yale Makontena ya Makinikia yaliyozuiliwa bandarini ili wayauze kwa faida ya kampuni ya Twiga.

“Yale Makontena ambayo yako bandarini, ambayo tuliyashika sasa mkatafute wabia mkayauze  kwa faida ya kampuni ya Twiga, today is a new page, is a new life” Rais Magufuli.

“HUU NI USHINDI MKUBWA, NAMSHUKURU SANA MUNGU” RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments