Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

VIDEO: Wahujumu uchumi wafikishwa Mahakamani Kisutu leo

on

Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mkurugenzi wa Tathmini, Archard Alphonce Kalugendo (49) na Mthamini wa Madini ya Almas wa Serikali, Edward Joseph Rweyemamu (50) umeileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, sehemu kubwa ya upelelezi umekamilika bado maeneo machache.

Wakili wa Serikali, Wankyo Simon amemueleza Hakimu Hakimu Mwandamizi, Godfrey Mwambapa kuwa kesi hiyo imeitishwa kwa ajili ya kutajwa.

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO OCTOBER 12 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments