AyoTV

“Rais Magufuli akifungue kitabu na akisome vizuri” –Mbunge Jesca Kishoa

on

Mbunge wa Viti maalum CHADEMA Jesca Kishoa alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma leo February 7, 2018  kuchangia mapendekezo katika taarifa mbili zilizowasilishwa Bungeni ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya maendeleo ya jamii pamoja na taarifa ya kudumu ya Bunge kuhusu masuala ya UKIMWI ambapo hapa anazimiliki dakika zake tano kwenye kuishauri Serikali.

Msemaji wa Serikali anazungumzia ‘Hali ya Uchumi wa Tanzania’

Soma na hizi

Tupia Comments