Michezo

Jezi maalum za Liverpool kutimiza miaka 125, watavaa vs Middlesbrough

on

Klabu ya Liverpool imezindua jezi mpya zitakazotumika kwa michezo ya nyumbani msimu ujao ambazo ni maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya kufikisha miaka 125.

Jezi hizo zitavaliwa hadharani kwa mara ya kwanza kwenye mchezo wa EPL dhidi ya Middlesbrough utakaopigwa Anfield May 21, mchezo wa mwisho wa Liverpool msimu wa 2016/2017.

VIDEO: Legend wa Liverpool alivyowasili Dar es Salaam. Bonyeza play kutazama…

 

Soma na hizi

Tupia Comments