Top Stories

Kitila Mkumbo achukua Jimbo la Ubungo

on

Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, Kitila Mkumbo, ameibuka mshindi  katika uchaguzi wa jimbo la Ubungo dhidi ya mgombea wa CHADEMA ambaye pia aliwahi kuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.

Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa hati ya ushindi Prof. Kitila Mkumbo, amewashukuru wananchi wa Ubungo kwa kumuamini na kuahidi kwenda kusimamia kero zote zinazowakabili wakazi wa jimbo hilo.

HOTUBA NZITO YA MWINYI BAADA KUSHINDA URAIS ZANZIBAR “”Mimi Hussein Mwinyi si bora”

Soma na hizi

Tupia Comments