Habari za Mastaa

Kituo cha TV nchini Marekani kilivyoripoti habari ya Mtanzania aliyeuwawa kwa risasi

on

Ni  Simanzi na Majonzi baada ya kufariki kwa kijana mwenye umiri wa miaka 20 mwenye uraia wa Tanzania aitwae Humphrey Magwira .

Kijana huyo alifariki baada ya kupigwa risasi njia panda ya Beechnut, Houston Texas Marekani.

Hapa Tazama namna taarifa hiyo ilivyoripotiwa na kituo kimoja cha habari nchini humo.

MTANZANIA ALIYEUAWA MAREKANI, FAMILIA YASIMULIA “ALIGONGA GARI KWA NYUMA”

Soma na hizi

Tupia Comments