AyoTV

Video: Waziri Kitwanga alivyotangaza vita na wauza dawa za kulevya

on

Dec 21 2015 Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kuweka wazi mikakati waliojiwekea kama Wizara pamoja na Jeshi la Polisi katika kupambana na dawa za kulevya, ugaidi na kesi za kubambikiwa. Hii ni baada ya kukamilisha ziara zake alizozifanya katika maeneo mbalimbali ikiwemo ofisi za Jeshi la Polisi.

Stori kamili iko kwenye hii video hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments