Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: BREAKING: Watumishi 11 wa Benki wanaswa na TAKUKURU
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
March 25, 2023
Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’
March 25, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > BREAKING: Watumishi 11 wa Benki wanaswa na TAKUKURU
Mix

BREAKING: Watumishi 11 wa Benki wanaswa na TAKUKURU

October 8, 2018
Share
1 Min Read
SHARE

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Kinondoni leo October 8 2018 imewafikisha Mahakamani watumishi 11 wa Benki ya CRDB kwa makosa yapatayo 404 ikiwa pamoja na kosa la kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya MILIONI  500  fedha za Mamlaka ya Elimu Tanzania ‘TEA’.

Watuhumiwa wote 11 pamoja na aliyekuwa Mwandamizi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Isaya Paul wanatuhumiwa kutenda makosa hayo kati ya mwaka 2010 na 2013, na kwamba uchunguzi wa tuhuma hizi umekamilika. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama hii video hapa chini

DIWANI CHADEMA: Kakaa Jela Miezi 10 kafunguka ”Nilionewa”, Bonyeza play hapa chini kutazama

You Might Also Like

Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

TAGGED: Breaking news
Admin October 8, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article LIVE MAGAZETI: Panga la watumishi hewa latua CCM, Sababu 4 Meli, Kivuko kuzama
Next Article Mbunge alivyopata shavu la Bilioni 1.5 mbele Waziri Mkuu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
Magazeti March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
Top Stories March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
Entertainment March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
Top Stories March 25, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo

March 25, 2023
Top Stories

Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’

March 25, 2023
Top Stories

Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana

March 25, 2023
Top Stories

Wananchi Wilayani Korogwe wamuomba hili DC Jokate kutafuta ufumbuzi, ‘Changamoto ya Tembo’

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?