Ikiwa zimesalia siku kadhaa kufikia April 26 siku ambayo ni kumbukumbu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Kangi Lugola alipata fursa ya kukutana na wanafunzi wa shule za msingi mkoani Dodoma lengo likiwa ni kutoa elimu inayohusu muungano huo ili kusaidia vizazi vijavyo kujua thamani ya tukio hilo.
Ushauri wa Mbunge Koshuma kwa Serikali ya JPM