AyoTV

VIDEO: Kiumeni movie Premier Mlimani City 2017

on

KIUMENI ni movie mpya yenye Watanzania ndani yake akiwemo Ernest, Idris Sultan, Antu Mandoza na wengine, AyoTV na millardayo.com zilifika kwenye uzinduzi wake MLIMANI CITY ambapo inaonyeshwa kwenye jumba la CINEMA. Bonyeza play hapa chini kutazama ilivyokuwa

VIDEO: Baada ya Goingbongo Ernest ameielezea KIUMENI, movie ambayo Idris amegiza yaliyowahi kumtokea, Bonyeza Play hapa chini  

Soma na hizi

Tupia Comments