Top Stories

KIVUMBI: Fomu za Urais kuanza kuchukuliwa, sifa zilizotajwa hizi hapa (+video)

on

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimesema kuwa mchakato wa uchukuaji na ujazaji wa fomu za kuwania Urais unatarajiwa kuanza Julai, 04, Mwaka huu.

Mgombea anatakiwa kuomba udhimini kwenye Kanda zote 10 za Chama hicho, zikiwemo 08 za Tanzania Bara na 02 za Zanzibar.

DUUH: PROF. JAY AMVUNJA MBAVU RAIS MAGUFULI MKUTANONI, AWATAKA WANANCHI WAMPIGIE MAKOFI NA SHANGWE

Soma na hizi

Tupia Comments