Habari za Mastaa

Alikiba ameitaja nchi nyingine nje ya Afrika atakayofanya tour 2017

on

Ni siku moja tangu staa wa bongofleva Alikiba kutangaza kuhusu kufanya tour ya muziki nje ya Tanzania na alitangaza kuanza na nchi ya Afrika Kusini, lakini leo Jan 7, kupitia ukurasa wake wa Instagram ametangaza kufanya tour hiyo  nchini Marekani pia na ataanza na Las Vegas, kisha Austin & Houston Texas, Minneapolis Minnesota na Washington DC kuanzia March mpaka April 2017.alikiba5

Video: Alikiba alivyotumbuiza Mombasa Rocks Music Festival>>>

Soma na hizi

Tupia Comments