Mbali na Kwamba Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel aliwakwaza Watanzania kwa yale yaliyotokea lakini Agosti 12, 2022 aliweza kufuta maumivu ya wengi baada ya kutoa burudani isiyopungua ndani ya dakika 45 katika Ukumbi wa Warehouse Nextdoor Arena uliopo Masaki Dar es Salaam.